Musa No Bahati Nasibu

by Assorted

KES 427
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu. Musa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika shule yao, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen Ingawa wanafanikiwa kupata zawadi - gari kutoka kwa Nick Molo - mchezo wao unakumbwa na mashaka. Kwanza, mwalimu mkuu, Mzee Mukibi, anawapokonya tiketi za mchezo. Kisha, inabainika kuwa gari lenyewe ni la kuibwa. Pesa wanazozipata nazo zinaishia mikononi mwa hasimu wao ... Musa na Bahati Nasibu ni kitabu cha kumi katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye
UPC50SRB20689
SKU50SRB20689

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review