Musa Mashakani

by Assorted

KES 427
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Visa na Vituko vya Musa ni tafsiri ya Moses Series vilivyoandikwa na Barbara Kimenye, na ambavyo vinaangazia hali ya maisha ya wanafunzi shuleni mwao. Mbali na kuwa vinaburudisha na kuchekesha kwa visa mbalimbali vinavyomkumba Musa, yapo mafunzo mengi anayopata msomaji. Tafsiri hizi zinadumisha mvuto na mnato wa kazi asilia, na zitakupa shauku ya kusoma hadithi yote ili kujua hatima ya kisa chenyewe.Si jambo geni kwa Musa kuwa mashakani. Safari hii, yeye na marafiki zake katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanafanya mgomo wa kimzaha kuhusu chakula wanachopewa shuleni. Mwanzoni, wanauona mzaha huo kuwa murua. Hata hivyo, Mwalimu mkuu, Bw Mukibi, hafurahishwi – yeye si mtu wa kuficha hisia zake.
UPC50SRB20687
SKU50SRB20687

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review