Musa Na Pepo

by Assorted

KES 427
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
the Sons of African Gentlemen? Musa, King Kong na wanafunzi wengine wa Bweni nambari 3 hawaamini kwamba kuna pepo. Lakini gimba hili la kutisha linalonyapanyapa kwenye uga wa shule yao ni kitu gani? Madoadoa ya ajabu ya 'damu' yametoka wapi? Na ni nani anayetoa kicheko cha kutisha nje ya mlango wa nyumba ya Bi Namukasa? Naibu wa mwalimu mkuu, Bw Karanja, anaamini kuwa ni wanafunzi wa Bweni nambari 3 wanaofanya mzaha. Kwa hivyo Musa na wenzake wanaamua kufanya juu chini kumnasa pepo huyu la sivyo atawafanya watimuliwe shule .Musa na Pepo ni kitabu cha sita katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
UPC50SRB20692
SKU50SRB20692

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review