Musa Kwenye Sokomoko

by Assorted

KES 427
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Kumleta mwanafunzi wa kike mahali kama hapa huenda kukawa balaa kubwa!' Anasema Bw Karanja, naibu wa mwalimu mkuu katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Bw. Mukibi, hata hivyo anaiona hiyo kuwa hatua nzuri sawa na wavulana wa shule hiyo pindi wanapopata habari hizo za kusisimua. Juli Sekabanja anaamua kwamba Musa na King Kong ndio wahusika hasa anaowahitaji ili kumsaidia kunasa genge la majasusi. Musa kwenye Sokomoko ni hadithi ya tano katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye.
UPC50SRB20686
SKU50SRB20686

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review