Musa Kwenye Harakati

by Assorted

KES 427
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Wanafunzi katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo. Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo. Wakiwa mjini Tororo. wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika 'hafla' yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka kuutazama umati uliojaa fujo. anakabiliana ana kwa ana na naibu wa mwalimu mkuu. Bw Karanja. Baada ya kufaulu kutoroka. na hata kuwakwepa polisi, wanaapa kufanya juu chini ili kuvuka mpaka. Je, hatima yao itakuwaje?
UPC50SRB20691
SKU50SRB20691

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review