Musa Mpigakambi

by Assorted

KES 427
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Musa na King Kong wanabaki bila mahali pa kulala baada ya ‘maonesho’ yao ya fataki kuteketeza kimakosa mabweni katika shule yao _ Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen. Walioathiriwa na mkasa huo wanalazimika kupiga kambi kwenye mahema ukingoni mwa mto. Katika harakati za kuchimba shimo la kutia mhimili wa hema, King Kong anachimbua mfuko wenye vito vya thamani. Pamoja na wenzake, wanashindwa kujiwekea siri ya ugunduzi huo mkuu, na muda si mrefu, wanajipata katika matatizo makubwa.
UPC50SRB20688
SKU50SRB20688

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review