Rehema Awanasa Wezi

by Assorted

KES 281
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Ni siku chache zimesalia shule ya msingi ya Darajani ifungwe. Walimu na wafanyakazi wote wana mkutano wa mwisho wa mwaka. Rehema kiranja mkuu anagundua kuwa wageni wanaofika shuleni si wageni wazuri. Wameingia maktabani na wanaendelea kuiba vitabu. Je, Rehema atapata wapi ujasiri na maarifa ya kupambana na wezi? Na je, atawaweza wezi hao ambao tayari wamepakia vitabu katika magunia? Hii ni hadithi isiyoweza kusomwa mara moja. Anza sasa hivi!
UPC50SRB20355
SKU50SRB20355

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review