Si Kupenda Kwake 3B

by Assorted

KES 250
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Si kupenda kwake 3b ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tatu katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchovu wa kusoma kwa kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia mzaha, hotuba na sentensi fupifupi. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya uadilifu shuleni na kuwahurumia na kushirikiana na wenye upungufu. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu. Vitabu vingine katika kiwango hiki ni:
UPC50TRS20229
SKU50TRS20229

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review