Nimlaumu Nani? 7A

by Assorted

KES 331
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Nimlaumu nani? 7a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msingi wa kusoma na kukuza uwezo katika kusoma kwa wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthilia. Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, majadiliano, uhalisia, maswali anuwai, mbinu rejeshi na sentensi fupifupi. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya watoto wa mitaani au barabarani. kituo cha kuwalea na kuwarekebisha chokora. haki za watoto, umuhimu wa mtoto msichana katika jamii, kujitambua. kusaidiana, kushirikiana, kushauriana na maadili mema.
UPC50TRS20208
SKU50TRS20208

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed

Sleeping Beauty
Sleeping Beauty
KES 209