Habari za Mawio 8C

by Assorted

KES 360
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Habari za Mawio 8c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na Kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na hadithi ndani ya hadithi. kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, mbinu rejeshi, vichekesho, utani, sajili (lafudhi) ya lugha, taswira na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kuwaheshimu watu wote, udugu, utamaduni, kujali wengine, haki na uadilifu, kazi na uwajibikaji, utu, afya (ukimwi, madawa ya kulevya), habari na mawasiliano. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
UPC50TRS20204
SKU50TRS20204

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review