Maskini Milionea

by Assorted

KES 627
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Maskini Milionea na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu haumo tu katika uanuwai wa fani na maudhui, bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofautitofauti. Hadithi hizi zilizoandikwa na waandishi kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki ni mchango mkubwa katika utanzu wa hadithi fupi za Kiswahili.
UPC50SRB20561
SKU50SRB20561

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review