Chakula Cha Biko 1C

by Assorted

KES 289
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Chakula cha Biko na Hadithi Nyingine Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii. Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: + Usafi wa mwili + Usafi wa mazingira + Vyakula vya kiasilia Shuleni Vitabu katika kiwango hiki: Kiki no Mina Darasani no Hadichi Nyingine Nana na Vinyau no Hadithi Nyi Chakula cha Biko no Hadithi Nyingine
UPC50SRB20377
SKU50SRB20377

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review