Kisa Cha Gaidi Lii

by Assorted

KES 313
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Lii ni gaidi sugu anayelihangaisha taifa. Anawatekanyara vijana na kuwafunza jinsi ya kuua na kufanya vitendo vya ugaidi. Serikali imejaribu kumkomesha lakini imeshindwa. Nani ataweza kumkomesha? Soma hadithi ujionee jinsi kijana mmoja wa mitaani anasaidia kumkomesha gaidi huyo sugu. Karang'ae Chege ni mwandishi aliyebobea katika uandishi wa vitabu vya hadithi vya kusisimua. Miongoni mwa vichapo vyake vingine ni Safari ya Mabwe ambach
UPC50SRB20396
SKU50SRB20396

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review