Siri ya Mwembe

by Assorted

KES 313
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Makumba katika Siri ya Mwembe Babu na aila yake wanatekwa nyara na kuingizwa ndani ya mwembe. 'Kabla Madevu hajasema kitu, babu alibofya sehemu ya gajabu ambayo ilimulika video ukutani. Wanasayansi wote wakamaka kuona mapambano baina ya Profesa Madevu na alla ya Makumba ndani ya mwembe. Video ikaonyesha kuanzia pale Makumba na wenzake walipotekwa nyara hadi mwembeni hadi Hatima yao ni ipi? Msururu wa Makumba ni novela bunilizi za kisayansi za kusisimua ambazo zinatalii sayari, mwili wa binadamu, ndani ya mimea na hata ndani ya ncha ya kalamu. Dkt. Hamisi Babusa ni mhadhiri wa Kiswahili na Taaluma ya Ufundishaji Lugha katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ni mwandishi ambaye amechangia katika nyuga mbalimbali za uandishi bunilizi na za kiakademia. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni Makumba katika Safari ya Mawimbi, Makumba katika Safari ya Tonge, Makumba na Majanabi na Makumba na Selidamu Nyeupe.
UPC50SRB20464
SKU50SRB20464

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review