Kanda ya Siri

by Assorted

KES 650
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Chifu Abdullah anaingia katika kazi ngumu kuliko zote alizowahi kuzifanya katika maisha yake, kazi ya kuisaka kanda iliyopotea katika kasri yake. Kanda yenyewe inatembea kutoka mkono mmoja hadi mwingine, huku pande mbili zinazoisaka zikitumia nguvu, pesa na akili kuitafuta. Msako wa kanda unakutanisha watu wenye tajriba pana katika mambo ya uhalifu. Wapo wanaojeruhiwa, wapo wanaoumizwa, wapo wanaokufa kwa sababu ya kanda, hali inayoitia jeshi la polisi katika kibarua kigumu cha kuwasaka wahalifu hao. Je, polisi watafaulu kuwapata wahalifu hao. Je, kanda yenyewe itapatikana? Hivi, ndani ya kanda kuna nini?
UPC50SRB20565
SKU50SRB20565

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review