Ahsante ya Punda 6D

by Assorted

KES 314
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Ahsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi. kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yoke, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani. Mradi wa Kusoma ni mfulutizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi a Kiswahiti Sanifu.
UPC50TRS20216
SKU50TRS20216

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review