Siri ya baba yangu kitabu cha kwanza

by Assorted

KES 317
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Ni wakati wa usiku, usiku wa mashetani wakati kijana Fadhili anapozinduka na kumfumania baba yake akiufunga mlango wa chumba chake. Ni baba anayetekeleza mpango wa siri asiofaa kuujua Fadhili. Fadhili anaamua kukitegua kitendawili cha tukio hilo kwa kujiingiza katika hatari zisizo kifani. Hii ni mojawapo ya hadithi ambayo imefumwa ikafumika mfumo ambao utamshangaza yeyote
UPC50SRB20391
SKU50SRB20391

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review