Embe Tamu 5A

by Assorted

Sold out
KES 296

You can get an email alert when this product is back in stock.

We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Embe Tamu 5a ni kitabu kinachonuiwa kuendeleza msjngi wa kdsomo pa kutaiza uwezo wa kusoma wa wanafunzi wa Darasa la Tanokafikashiiiezamsingi. ' Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: Masimulizi rahisi ya hadithi. Kuondosha hali ya uchofu wa kusoma na kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi. vichekesho, tashihisi. mbinu rejeshi. taharuki, picha zenye rangi za kupendeza na sentensi fupifupi. Kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya fasihi simulizi. maumbile na sayansi ya mhusika mkuu embe/mwembe, asili ya vitu. pamoja na maadili mema kama vile subira, uvumilivu na wajibu. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu
UPC50TRS20217
SKU50TRS20217

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review