Wimbo Wa Ujasiri
by Assorted
KES 398
Hadithi zinazofundisha stadi za maisha. Hadithi inayofundisha stadi za maisha Hii ni hadithi kwa watoto wenye umri wa miaka 11 -14 (Kiwango cha 6-8).
Ni kitabu kinachowasaidia watoto kujifunza na kukuza kujiamini na ujasiri.
Kip Kibet ni mwanafunzi mwenye haya katika shule moja ya upili jijini Nairobi. Wakati wa Tamasha za Muziki katika tarafa ya Nairobi, anagongana na Brenda Njoroge kiajali. Tangu kisa hicho Kip anashindwa kumsahau Brenda. Kip anajiunga katika kwaya ya shule akikusudia kutangamana na Brenda. Mwalimu wake wa muziki anatambua kipawa chake cha kuimba. Anamfanyisha mazoezi ya kina hadi Kip anaibuka kuwa mwimbaji stadi. Hatimaye, Kip anateuliwa kushiriki katika kitengo cha mwimbaji mmoja, wakati wa tamasha za muziki kwenye tarafa. Hata hivyo, anapofika kwenye jukwaa, anasahau wimbo wake. Brenda anamtia moyo akimhimiza kuonyesha ubingwa wake. Je, Kip atafaulu?
UPC | 50SRB20635 |
---|---|
SKU | 50SRB20635 |
Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.
We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.
Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.