Waja Leo

by Assorted

KES 511
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Waja leo ni mkusa'nyiko wa mashairi ya aina yake yanayomulikia kurunzi vipengele anuwai vya waja (binadamu) wa leo. Watunzi wa mashairi katika diwani hii wana tajiriba na falsafa tofautitofauti zinazodhihirishwa na rnitindo na maudhui yao mbalimbali. Mashairi yenyewe yameandikwa kwa lugha rahisi kusomeka na kueleweka, yaliyo na mvuto wa ajabu na ambayo yatawafaa wapenzi na wasomi wa mashairi ndani na nje ya mipaka ya asasi za elimu. Katika diwani hii, mna utangulizi kwa msomaji wenye maelezo mwafaka kuhusu mbinu ya kuyasoma na kuyachambua mashairi kwa faida ya wasomaji katika shule za upili. Aidha, kuna maswali ya mazoezi kwenye kurasa za mwisho.
UPC50SRB20562
SKU50SRB20562

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review