Siku Yaja

by Assorted

KES 278
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Siku Yaja... "Siku Yaja ambapo wafisadi watanaswa na watahukumiwa. Watakula maharagwe katika magereza ya Kamiti ama Shimo La Tewa." Siku Yaja... ni hadithi ambayo imeangazia suala sugu la ufisadi nchini. Athari za ufisadi zinapokithiri, wananchi wanaandamana kuupinga. Vijana wanaoshuhudia maandamano hayo wanamuuliza mwanaharakati wa kupambana na ufisadi maswali chungu nzima. Mwandishi ametumia vikao vya mafunzo kudhihirisha kwamba ingawa uozo huo umekolea, bado kuna matumaini ya kuuangamiza. Siku yaja ambapo serikali itapambana kumaliza ufisadi. Siku yaja ambapo maadili yatatawala na wafisadi kusaga meno. Siku yaja ambapo wananchi watapata haki zao bila kutoa rushwa. Ndio, Siku Yaja...
UPC50SRB20379
SKU50SRB20379

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review