Mentor Kielekezi cha Kiswahili Gredi 8 (CBC Approved)

KES 920
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery

Kielekezi cha Kiswahili Gredi ya 8 kimeandaliwa kwa ustadi ili kumrahisishia mwanafunzi kuelewa na kufikia matokeo maalumu yanayotaragjiwa. Kitabu hiki: -Kimeandikwa kumwezesha mwanafunzi kukuza na kujenga ujuzi na uwezo wa kutumia stadi za lugha; Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi. -Kimeandikwa kwa lugha rahisi na kutoa mifano mwafaka katika mazingira tofautitofauti. -Kimeshughulikia masuala mtambuko kama vile: uraia, utangamano, elimu ya amani, stadi za maisha, mazingira, elimu ya maendeleo endelevu, teknolojia na afya bora. -Kina mazoezi muhimu ya kumtathmini mwanafunzi na pia kujitathmini. -Kina maswali ya tathmini mwishoni mwa kila sura ili kumsaidia mwanafunzi kufanya marudio zaidi. -Kimeandikwa na waandishi wenye tajriba kubwa katika ufundishgji wa somo la Kiswahili katika shule bora nchini Kenya. Wanaelewa vyema mahitaji ya mwanafunzi na mwalimu katika somo la Kiswahili na Mtaala wa Kiumilisi.

UPC50TKI05037
SKU50TKI05037

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed