Stadi za Kiswahili – Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8

KES 836
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi.Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo: Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 8 Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi Kimejumisha shughuli za mwanafunzi binafsi,shughuli za wanafunzi wawiliwawilina za makundi Kimejumuisha mada na mada ndogo zote Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 8 Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 8 Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi Kimeshughulikia masuala mtambuko yote Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza,Kusoma na Kuandika. Haya na mengine mengi yanadhamiriwa kumwezesha mwanafunzi wa Gredi ya 8 kuwasiliana kwa Kiswahili sanifu katika mazingira mbalimbali.
UPC50TKI03092
SKU50TKI03092
Stadi za Kiswahili kwa Shule za Msingi ni vitabu vya kiada vilivyodhamiriwa kubadilisha ufundishaji wa Kiswahili. Vitabu hivi vimeandikwa kwa njia ya kipekee kwa manufaa ya mwanafunzi na mwalimu. Yaliyomo yamepangiwa kwa utaratibu mwafaka kuanzia na dhana zinazoeleweka kwa urahisi na kumalizia kwa zile zinazotatiza. Aidha, sura zimepangwa kwa kufuata mantiki kwamba ni muhimu mwanafunzi awezeshwe kusikiliza na kuongea, kisha asome na mwisho aandike. Dhana za sarufi na msamiati zimewekwa mwishowe kwani ndizo vijenzi vya stadi za lugha. Stadi nne za kusikiliza, kuongea, kusoma na kuandika zimeshughulikiwa kwa njia rahisi, inayoeleweka na inayomvutia msomaji.

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review