OUP Kiswahili Fasaha Grade 8 (CBC Approved)

KES 905
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina: -Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha - Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika - pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha -Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika -Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa -Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi -Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa -Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika
UPC50TKI00148
SKU50TKI00148
Kiswahili Fasaha ni msururu ulioandikwa kwa njia ya kipekee na unaokidhi mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi. Vitabu katika msururu huu vina shughuli anuwai ambazo zinalenga kumsaidia mwanafunzi kupata umilisi, maadili na masuala mtambuko yanayokusudiwa katika mtaala. Kiswahili Fasaha Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 8 kina: -Shughuli mbalimbali zitakazomwezesha mwanafunzi kupata stadi zote nne za lugha - Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika - pamoja na matumizi ya sarufi kimuktadha -Sehemu za Zinduo ambazo zinatoa maelezo ya kina kuhusu dhana husika -Sehemu za Elimujamii ambazo zinampa mwanafunzi nafasi ya kuendeleza ujifunzaji wake nje ya darasa -Sehemu za Dijitika ambazo kwazo mwanafunzi ana nafasi ya kutangamana na vifaa vya kidijitali katika kufanya mazoezi -Michoro ya rangi inayochangia uelewa wa dhana zinazofunzwa -Tathmini binafsi baada ya kila mada kuu ili kumsaidia mwanafunzi kupima uelewa wake wa dhana husika -Sehemu ya Tafakari mwishoni mwa kila suala kuu, ambayo inalenga kumpa mwanafunzi ari ya kutumia aliyojifunza ili kuboresha hali yake na ya jamii nzima.

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review