Vituko Vya Sungura 4D

by Assorted

KES 261
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Vituko vya Sungura 4d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nne katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusomo. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: masimulizi rahisi ya hadithi za kale kwa njia ya shairi. kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia utambaji wa hadithi, ukariri wa beti za shairi, semi, tashihisi na picha za rangi zenye kusisimua. kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya kusaidiana na kushirikiana wakati wa shida, stadi za maisha. uwajibikaji, utu, uvumilivu, uadilifu, haki, kuishi kwa utangamano na amani. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu .
UPC50TRS20225
SKU50TRS20225

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review