Shangazi Katili

by Assorted

KES 213
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Makena anayoishi maisha ya mateso chini ya shangazi yake. Juhudi za majirani kumwokoa zinashindwa hasa kwa sababu Makena hajamini. Angamini yeye ni yatima baada ya kuwapoteza wazazi wote ajalini. Hadi siku anapokipata kipande cha barua kutoka kwa baba yake wakati anatua nguo za shangazi. Soma hadithi ushuhudie jinsi anavyosaidiwa na marafiki kumtafuta babake na kuyatoroka mateso ya shangazi katili Kariuki Wangai ni mhariri wa vitabu mwenye uzoefu wa miaka mingi. Hiki ndicho kitabu chake cha kwanza kwa watoto
UPC50SRB20380
SKU50SRB20380

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

Leave a product review
or cancel