Ni Rangi Tu

by Assorted

KES 482
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Majaaliwa alipokutana na binadamu wenzake alitamani kujichimbia ardhini ajifiche. Waliicheka rangi yake 'iliyochujuka', kama walivyosema wenyewe. Walimhepa na kumkimbia kama mgonjwa wa ukoma! Wakati mwingine Majaaliwa alijutia majaaliwa aliyopewa, lakini alijijasiri akakabiliana nayo kiume. Aliyakabili kama vile simba jike mwenye hasira anavyomkabili adui, na hatimaye! Hatimaye ... Ni Rangi Tu ni hadithi ya kusisismua iliyoandikwa kwa lugha sahili. Lugha ambayo inateka makini ya msomaji na kumfanya kutaka kuisoma mfululizo bila kukoma. Ally Mtenzi, mwandishi wa hadithi hii ni naibu wa Mhariri Mkuu katika runinga ya K24, Shirika la Usambazaji habari la Media Max.
UPC50SRB20571
SKU50SRB20571

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review