Mbaya Wetu

by Assorted

KES 472
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Mbaya Wetu ni tamthilia ya kijamii inayoangazia kitashtiti suala la malezi. Tamthilia hii inamulikia kurunzi taasisi ya familia, vyombo vya dola na jamii kwa jumla na kufichua utepetevu katika utekelezaji wa majukumu ya kimsingi. Matokeo ya utepetevu huu na kuthamini wasiothaminika ni kuibuka kwa wanajamii ambao hawawezi kuihakikishia jamii yao mustakabali ufaao. Tamthilia hii yenye ucheshi na ubunifu wa aina yake inahusu hatima ya Matari na jamii yake. Matari ni kitindamimba aliyedekezwa na wazazi wake na jamii kwa jumla. Kudekezwa huku kuna athari gani kwa mdekezwa na wadekezaji? Je, Matari anajihasiri na kuwahasiri wengine kwa kiasi gani? Nao wanajamii watakubali hasara mpaka lini?
UPC50SRB20563
SKU50SRB20563

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review