Kashida Katika Shida

by Assorted

KES 346
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Kashida katika Shida Kashida amezaliwa katika familia na jamii ambayo inamkana. Inamkataa na kumchukia Ananusurika kutolewa kafara na kufika nchi ngeni lakini matatizo yanazidi kumwandama Kuna kitu fulani cha ajabu mwilini pa Kashida na wakionacho kitu hicho ndio wanaozidisha taabu zake. Kashida anaporejea nyumbani anapangiwa kuuawa ili milk isipate majanga. Je, Kashida atauawa? Yawezekanaje Koshida awe malkia mwenye sifa na nguvu nyingi.
UPC50SRB20394
SKU50SRB20394

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review