Joto La Moyo

by Assorted

KES 480
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Bwire anaishi na nyanya na babu zake ambao hawana bee wala tee ijapokuwa wao ni wazazi wa daktari mashuhuri jimboni. Licha ya changamoto chungu nzima, Bwire ana ndoto maishani. Amefua dafu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nane. Atatoa wapi pesa za kusomea shule ya upili? Ndoto yake itafifia? Nyanya yake, Bi Zahara, anampasulia mbarika kuhusu hali iliyowakumba wazazi wake hata wakasalia mafuta na maji. Taarifa anayopata kwamba mama yake anaishi Eldoret inamchochea kufunga safari kuenda kumtafuta. Je, atampata mama yake? Joto
UPC50SRB20640
SKU50SRB20640

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review