Hali Na Mali Baharini

by Assorted

KES 280 KES 319
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Hali na Mali Baharini na Hadithi Nyingine Hali na Mali ni ndugu wawili wanaopendana sana. Fuatana nao wanapoenda kujivinjari baharini, wanapocheza na paka wao, wakiwa shuleni na wanapoenda kanisani. Hali na Mali Baharini na Hadithi Nyingine ni hadithi za kuchangamsha na zilizo na mafunzo mema kwa watoto. Tom Nyambeka ana tajriba na uzoefu mpana wa uandishi wa hadithi za watoto. Miongoni mwa kazi zake nyingine ni pamoja na Ahaal Roda, Kivuli cha Mauko, Bintu na Bintutu, na Heko na Haki.
UPC50SRB20371
SKU50SRB20371

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed

Nachora Kwa Maneno 6A
Nachora Kwa Maneno 6A
KES 314
12% Off
Veda Crepe Paper Gold
Veda Crepe Paper Gold
KES 85 KES 97
Kuku and the Red Shoes
Kuku and the Red Shoes
KES 185
Nancy Drew False Notes
Nancy Drew False Notes
KES 480