Beluwa

by Assorted

KES 453
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Beluwa: ! Hukubisha? Unaingiaje hapa hivi hivi tu? Hujui kuwa huku kuna wenyewe? Miaka minne baada ya kukata rufaa, Beluwa bado yuko rumande. Anakutana ana kwa ana na ukweli baada ya kusombwa na wimbi kali la mkono wa sheria. Akiwa rumande anakutana na wafungwa wenzake; Tanda na Mtu. Ili kupitisha muda wakisubiri kusikilizwa kwa kesi zao, wanacheza michezo ya kitashtiti inayotalii kadhia zinazoumeza ulimwengu.Beluwa ni mchezo wa kibwege unaoburudisha ajabu! Pauline Kea Kyovi ni mwandishi aliyebobea katika nyanja nyingi za uandishi. Ameandika novela, Kipendacho Roho, na kuchangia hadithi fupi, Maskini Milionea na Hadithi Nyingine na mashairi katika mkusanyiko wa ja Leo, Diwani ya Mashairi.
UPC50SRB20572
SKU50SRB20572

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review