Wema Wa Sofi

by Assorted

KES 290
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Sofi ni msichana ambaye kuzaliwa kwake ni kwa ajabu sana. Baada ya kuzaliwa, anakutana na hatari kwenye ulimwengu wa watu katili. Kwanza, wasichana wa rika lake wanamwonea wivu kutokana na urembo aliojaaliwa. Pili, jina Sofi linamtia Malkia Malkan wasiwasi usio kifani. Malkia Malkan amemtuma Sofi na wenzake kwenye msitu wa mbali akiwa na lengo la kumwangamiza. Je Sofi atarejea Salama?
UPC50SRB20370
SKU50SRB20370

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review