Rehema Shujaa Wa Kijiji
by Assorted
Sold out
KES 283
Rehema
Shujaa wa Kijiji
Ni msimu wa mvua na mto Zongo umefurika na kuvunja kingo zake. Rehema, wazazi wake na wanakijiji cha Mwembeni wanazinduliwa na kelele asubuhi. Kuna mtu amekwama mtoni. Wanaume wote wameshindwa kumtoa. Wanawake nao hawana mbinu za kumwokoa.
Kijiji kinamhitaji shujaa, shujaa ambaye ataokoa maisha ya mtu. Je, shujaa huyo ni Rehema? Hii ni hadithi itakayokuvutia kutokana na utunzi wake wa kupigiwa mfano.
UPC | 50SRB20389 |
---|---|
SKU | 50SRB20389 |
Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.
We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.
Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.