Maskini Bibi Yangu! 6B

by Assorted

KES 314
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Maskini Bibi Yangu! 6b ni kitabu kinacholenga wanufunzi wa darasa la Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao kusoma.Miongoni mwa sifu za kipekee za kitabu hiki ni:masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya utambaji hadithi na usimulizi wa nafsi ya kwanza umoja.kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tanukali za sauti, vichekesho, utani, takriri, taswira nu picha za rangi zenye kusisimua.kuwapitisha na kuwalea wunufunzi katika muzingira ya kuwaheshimu watu wazima wenye uhusiano nao au wasiowahusu, maisha ya nyumbani, mazoezi, michezo na mashindano, kilimo, afya na hudumu ya kwanza, teknolojia ya mawasiliano, uwajibikaji, utu. uvumilivu na mandhari ya mijini na vijijini
UPC50TRS20214
SKU50TRS20214

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review