Njiapanda 8D

by Assorted

KES 360
We accept Mastercard, Visa and M-Pesa, as well as Cash on Delivery
Njiapanda 8d ni kitabu kinachotenga wanafunzi wa Darasa la Nane katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni: • masimulizi rahisi kwa njia ya hadithi, tamthitia ndani ya hadithi, mbinu rejeshi na uzungumzi nafsia. • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia masimulizi, dayolojia, misemo, methali, taharuki, tashibihi, tashihisi, taknn, kejeli, chuku, tanakali za sauti, maswati ya batagha. taswira na picha za rangi zenye kusisimua. • kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya ujana na matatizo yoke, maisha ya nyumbant, shuleni na hospitatini, matezi, afya, umuhimu wa teknotojia, habari na mawasiliano, uwajtbikaji, kazi, utu, uvumilivu, haki za binadamu na haki za watoto, kuishi kwa utangamano na amani. Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.
UPC50TRS20205
SKU50TRS20205

Any item you order from our site, we will deliver to you, or for you, anywhere in Kenya.

We deliver for free for all orders above Ksh 2,000 and charge a standard fee of Ksh 250 for all orders below Ksh 2,000.

Delivery takes place within 72 hours after order confirmation.

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed